Wednesday, May 29, 2013

Diamond – “Picha za mwisho nikiwa na Ngwair. Simanzi kubwa imetawala moyo wangu”


ngwear-mangwear-diamond
Pamoja na ku-share picha zao za pamoja, hapa chini ni alichoandika msanii Diamond Platnumz kuhusu kifo cha mkongwe wa Bongo flava, Albert “Ngwair” Mangwair

MUUGUZI ANASWA KATIKA JARIBIO LA KUMTOA MIMBA MWANAFUNZI HUKO BUGURUNI....!!

Mwanafunzi akiwa kitandani tayari kwa kutolewa mimba




MUUGUZI wa kike, Violet Shoo, mkazi wa jijini Dar ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi Kituo cha Buguruni, Ilala baada ya kunaswa katika jaribio la kutaka kumchoropoa ujauzito msichana mmoja aliyepandikizwa kama mwanafunzi kwa mtego makini ulioratibiwa na Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’

UPDATE: TAARIFA YA KIFAMILIA KUHUSU MAZISHI YA NGWEA NA JINSI MWILI HUO UTAKAVYOLETWA TANZANIA..

Baba Mdogo wa Marehemu Mzee Mangweha ambaye yuko Mbinga Songea kikazi, amesema kuwa wamekubaliana na kaka yake mkubwa yaani baba mkubwa wa Ngwair, David Mangweha ambaye naye yuko Songea kuwa watu watakutanika Mbezi kwa msiba na pia mapokezi yatafanyika hapa Dar es salaam Mbezi Beach. 
  
Ingawa bado kikao cha familia nzima hakijafanyika lakini baba huyo mdogo amesemawanaweza kulazimika kuzika Morogoro sehemu ambayo baba yake alizikwa.

Baba huyo mdogo alisema kuwa kesho ndo watarudi Dar es Salaam pamoja na kaka yake yaani baba mkubwa wa marehemu.
 
Kuhusu mwili kuletwa hapa Tanzania kutoka Afrika Kusini baba mdogo amesema kuwa mpaka sasa hawajajua jinsi gani mwili huo utafika hapa lakini kuna ndugu zao ambao tayari washaanza kufanya taratibu za kuwasiliana na ubalozi wa Afrika Kusini ili kujua ni jinsi gani mwili huo utafika hapa.

"SIWEZI KULIFIKIRIA PENZI LA WEMA SEPETU KWA SASA COZ PENNY ANANIPENDA SANA"....DIAMOND PLATINUMZ


Diamond akiwa katika  pozi na mpenzi wake Penny.
MSANII anayekimbiza katika anga za Muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' leo amefunguka kuwa hana tena mapenzi na aliyekuwa mpenzi wake, mrembo Wema Isaack Sepetu.

LAANA: VIDEO YA MWANAUME ALIYENASWA 'LIVE' AKIMLAWITI MBWA HUKO KENYA....NI ZAIDI YA LAANA..!!



Baada ya siku kadhaa kupita tangu litokee balaa la mabinti 11 walionaswa wafanya mapenzi na Mbwa huko Mombasa, jana napo limezuka balaa jingine huku safari hii likimuhusisha jamaa aliyetambulika ambaye mashuhuda wetu walimnasa hadharani wakati akifanya uchafu wake huo.

Vitendo kama hivi vimekuwa ni vingi vya kusikitisha hususanai katika nchi jirani yaa Kenya ambapo watu wamekuwa wakifanya mapenzi na wanyama kiholela bila hata ya kuwa na hofu ya Mungu.

ANGALIA VIDEO YENYEWE HAPO CHINI
Popout

BAADA YA NGWEA, RAY C NAYE YUPO HOI KITANDANI KATIKA HOSPITALI YA REGENCY..!!



ENDELEA KUWA NASI TUZIDI KUKUPASHA ZAIDI KUHUSIANA NA HALI YAKE...

WIMBO WA CHID BENZ UNAITWA R.I.P NGWAIR. USIKILIZE NA KUDOWNLOAD

Saturday, May 25, 2013

Vita kati ya Kambi ya Lowassa na Membe sasa si Siri tena.


Kufuatia taarifa za uzushi zinazosemekana zilitokana na kikao cha wabunge wote wa CCM (CCM party caucus) zilizoenezwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari na haswa kwenye mtandao wa kijamii na watu wenye nia ovu ya kutaka kuharibu jina zuri la Mhe. Mbunge wa Jimbo la Nzega, Dkt. Hamisi Kigwangalla (Mb.) kwa kuchafua taswira yake na heshima kubwa aliyojijengea kwa muda mrefu kwenye jamii, tumeelekezwa kutoa taarifa hii yenye lengo la kukanusha na kuweka kumbukumbu sawia kwa lengo la kuuelewesha umma.

Kwanza, anasema Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla (Mb.), hana tabia za kuwagawa watu kwa matabaka ya itikadi zao, dini ama makabila yao. Anasema msingi huu wa kuishi kwa kushirikiana na kupendana anautoa nyumbani kwao Nzega alipozaliwa na kukulia, kwa babu yake aliyekuwa Sheikh na muasisi wa Taasisi ya kiislam ya Nusratul qadiriyya (zawia) ambayo ilikuwa na wafadhili wakuu wakristo na kila mwaka walikuwa wakishiriki kwa hali na mali kwenye maulid na dua nyingine mbalimbali; miongoni mwa walezi na wafadhili hao ni pamoja na Hayati Chief Humbi Ziota, Mhe. Lucas Lumambo Selelii (Mb. Mstaafu wa Nzega na Katibu wa Makanisa ya Pentekoste Mkoa wa Tabora), Mhe. Steven Maziku Kahumbi (Mb. Mstaafu wa Bukene), Hayati Mhe. Mzukila (Mb. Mstaafu wa Nzega) – ambao walikuwa ni wa dini ya kikristo. Ni msingi huo uliomfundisha yeye kuwa mstari wa mbele kwenye kuunga mkono jitihada za watu wa dini zote na hata wasio na dini katika shughuli zao za kuendeleza imani zao ama kufanya shughuli za maendeleo bila kuingilia uhuru ama itikadi zao. 

Ni katika msingi huo huo amekuwa akishiriki kujitolea kujenga makanisa, misikiti na hata kuchangia kazi za wasanii wa kwaya mbalimbali bila kubagua kwa misingi ya udini. Watu wa Nzega ni mashuhuda kwa hili.

Hatimaye lile Shindano Kubwa Africa na Big Brother Kuanza Kesho ..Je Wamjua Anaye Wakilisha Tanzania?


Siku ya tarehe 26 mwezi huu, itaanza kuonyeshwa rasmi msimu mpya wa big brother "the chase" kwa wale wenye dstv usikose kuangalia kupitia channel 198 upate kujua ni nani atakaeiwakilisha Tanzania mwaka huu. Dola laki tatu kushindaniwa

Foxy Brown "Sijawahi Kusema Jay Z ni Mwathirika wa Ghonorrhea"

Foxy Brown ameudhika sana na ripoti zilizoenea kuwa amemtukana Jay Z.... akiongea na mtandao wa TMZ amesema, hajawahi kutukana Jay kuwa ni muathirika  wa gonjwa  la gonorrhea, Tranny Chaser...na sasa anatishia kuwapeleka mahakamani.
Brown anazungumzia ripoti zinazosema,hivi karibuni alienda kwenye baby shower na kuanza kumsema Jay na maisha yake ya kimapenzi kwa mmoja wa wageni katika sherehe hiyo- na kusema kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, na kuwa alipoteza bikira yake kwake wakati alipokuwa na miaka 15 na Jay alikuwa na miaka 27.

kuna mengi yaliyozungumzwa ikiwa ni pamoja na tuhuma za Jay kujihusisha na wizi, video ya ngono na STDs.
Foxy amesema, ripo hizo ni za kijinga kabisa, na nilipoziskia ziliniumiza san atumbo, na kila mmoja aliehusika atapigiwa simu na mwanasheria wangu

Jay siku zote amekuwa ni mtu mzuri kwangu na familia yangu, rafiki mzuri kwa miaka yote hii niliyomfaham, na hatukuwa na chochote zaidi ya mafanikio makubwa kama team

Beyonce, mke wake amekuwa ni mtu mzuri sana kwangu,sitakubali hater yoyote kutengeza story na kuniharibia heshima yangu na muonekano wangu. 
huku kuvunjiana heshima hakuweza kuvumilika.

Wachina Waanza Kukimbia Kutoka Mtwara



    Baadhi ya wachina wanaofanya biashara ndogongo hapa mjini, pamoja na wale wanaofanya kazi kwenye makampuni ya kuchimba gesi, wameanza kukimbia kutoka Mtwara. Ofizi zao zote zimeharibiwa na hakuna hata mmoja anayeonekana. Hatujui wamekimbilia wapi kwa maana hata kwenye makazi yao hawapo, ila wengine walionekana wamejazana kwenye landcruiser wakiifuata njia ya kurudi Dar.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MEI 25, 2013 HARD NEWS, UDAKU ,MICHEZO NA BURUDANI


.
.
.

.
.
.

Friday, May 24, 2013

DIAMOND ATIA AIBU YA MWAKA....KINGERZA CHAMUUMBUA TENA


KWANZA  NAANZA  KWA  KUMPONGEZA  SANA  DIAMOND maana  akiwa hajamaliza hata wiki mbili tangu atoke kwenye tour iliyofanikiwa ya Burundi na Congo, Diamond leo amesaini mkataba wa show nyingine kubwa ya kimataifa.

Kupitia Instagram, Diamond ameshare picha inayomuonesha akisaini mkataba wa show huku pembeni akiwepo mtu mwenye asili ya Asia ambaye huenda ndio promoter. 

Kilichowafanya  mashabiki wake  huko instagram  wavunjike  mbavu  ni Kingereza  alichotumia.....

"After I DONE did the Uk,Congo,Burundi…guess where next I’ll be headed.”...

Haijalishi  umekosea au upo  sahihi, ujumbe  umefika  kaka!!.  Waache  wacheke, wataacha  tu.

 Hata  hivyo, si vibaya pia  kutumia  lugha  yetu ya kiswahili  maana  ujumbe  hufika  vizuri  zaidi....Kingereza lugha ya  watu...ni ngumu..!!! 

ANGALIA PICHA YA MWANAFUNZI ALIYEKWENDA SHULE KUPIGA PICHA ZA NUSU UCHI


Hii picha ni ya mwanafunzi akiwa kwa class na pozi na pamoja na nguo alizo vaa je Ni sahii kwa wanafunzi wa siku hizi kuvaa nguo za namna hii haswa wanapokua madarasani......

TANGAZO MUHIMU KUTOKA KWA JESHI LA WANANCHI TANZANIA(JWTZ) KWA WANANCHI WOTE...!!

 " Mtanzania yeyote: kaa makini usiokote kitu chochote ambacho una mashaka nacho, kuna bomu zimerushwa toka nchi jirani Malawi zaidi ya 30 zenye uzito usiopungua tani 100. Hivyo basi uonapo kitu kipo kama chupa la chai chenye rangi ya fedha "usikiguse" piga namba 0756000042. SMS hii tuma kwa watu uwezavyo: Imetolewa na JWTZ/ LSL5CAMRM: Asante. "

KIONGOZI WA VURUGU ZA MTWARA AKAMATWA......!!

vujo mtwara

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA
Anuani ya Simu “MKUUPOLISI”                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                     Ofisi ya  Inspekta  Jenerali wa Polisi,
Simu : (022) 2110734                                                                                    Makao Makuu ya Polisi,
Fax Na. (022) 2135556                                                                                                           S.L.P. 9141,
Unapojibu tafadhali taja:                                                                        DAR ES SALAAM.
24 MAY 2013
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Polisi Nchini linamshikilia mtu mmoja ambaye jina lake linahifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi kwa tuhuma za kueneza ujumbe wa uchochezi na chuki kwa wananchi na viongozi wa serikali kwa njia ya simu ya mkononi akituma SMS kwa lengo la kuchochea fujo, vurugu na kutoa matusi kwa viongozi hao.


Mtu huyo amekuwa akifanikisha kazi hiyo kwa kutumia Chips (sim card) 13 za simu za mkononi ambazo amekamatwa nazo. Jeshi la Polisi linaendelea kumhoji mtu huyo na ushahidi utakapokamilika atafikishwa mahakamani.
 Aidha, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wenye taarifa zingine za wahahlifu kama hao kujitokeza na kutoa taarifa hizo polisi ili wahalifu hao waweze kukamatwa na kuchukuliwa hatua stahiki, wakiwemo watu wanaowashawishi wenzao kwa njia ya fedha, kuwashauri ama kuwasaidia kwa namna yeyote ile katika kufanikisha uhalifu huo na kusababisha uvunjifu wa amani hapa nchini.
Jeshi la polisi halitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayebainika kuvunja sheria za nchi.

Wednesday, May 22, 2013

HUYU NDIYE MKENYA ALIYECHINJA WATU 400 KWA PANGA APEWA HIFADHI UINGEREZA.


John Thuo.
Muuaji ambaye aliua karibu watu 400 nchini mwake amepatiwa hifadhi ya kisiasa nchini Uingereza.

John Thuo, mwenye umri wa miaka 27, ambaye aliwacharanga wengi wa waathirika wake katika mashambulio ya kutumia mapanga nchini kwake Kenya, ametumia takribani miaka 10 akiishi nchini Uingereza kwenye makazi ya bure iliyotolewa na Huduma ya Taifa Kusaidia Hifadhi ya Kisiasa.
Anaaminika kupokea marupurupu yanayofikia Pauni za Uingereza 160 kwa mwezi kutoka huduma hiyo, kitengo cha Wizara ya Mambo ya Ndani kinachoshughulikia makazi kwa wanaotaka hifadhi ya kisiasa.
Thuo, ambaye alikuwa mfuasi wa kundi halifu la Mungiki nchini Kenya, alikiri mbele ya mahakama ya uhamiaji kwamba aliwaua 'takribani watu 100 hadi 400'.

MWANA FA AWAJIA JUU WASANII WAKONGWE KWA TABIA MBAYA YA KUPENDA KULALAMIKA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhFng5R5CleiOhOlIxaQq2U-cl-VywkQMTCjQZnirBfmq6z8kn6O2bxrIYZ-KA292-EvIFWTfkbil0Of9ZkJSCWC88Vbrpq3FrwbKv97Q6m_UmZQIGxo3CqSztzyFgn-Qjq9Re6AOM2d7S2/s1600/IMG_09102.jpg

Rapper Hamis Mwinjuma aka Mwana FA amesema mara nyingi wasanii wakongwe huishia kulalamika wanapochuja kwakuwa hushindwa kubadilika kuendana na wakati na pia kupenda kuchukuliwa kama ‘malegendary’ hata kama wakichemka kwenye kazi zao mpya.Ameongeza kuwa mara nyingi wasanii wengi hufika hatua ya kuanza kulalamika kwakuwa muziki wa Tanzania hauna mipango inayoeleweka.

Obama Kuwasili Nchini Tanzania Julai Mosi

 
Wakati Ikulu ya Marekani ikitangaza kuwa Rais Barack Obama anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya siku tatu kuanzia Julai Mosi hadi 3, Serikali ya Tanzania imesema ujio huo utasaidia kuinua uchumi kutokana na kufaidika na uwekezaji na misaada mbalimbali.
Rais Obama anatarajiwa kuzitembelea Senegal, Afrika Kusini na Tanzania.
Taarifa ya Ikulu ya Marekani iliyotolewa na Ubalozi wa nchi hiyo nchini, inasema Rais Obama atazuru Afrika kuanzia Juni 26 hadi Julai 3, ikiwa ni moja ya sehemu ya kuimarika uhusiano baina ya nchi yake na bara la Afrika.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma alisema ziara ya kiongozi huyo inatarajiwa kuinufaisha Tanzania maeneo ya biashara na uchumi.
Rais Obama ambaye ana asili ya Kenya ambako anatoka baba yake mzazi, baada ya kuchaguliwa kushika madaraka nchini mwaka 2009, alimwalika Rais Kikwete akiwa kiongozi wa kwanza kwenda Marekani kujadiliana masuala mbalimbali.
Ziara yake ya kwanza kwa bara la Afrika aliifanya nchini Ghana ambako alihutubia Bunge.

P-funk Majani anaamini Profesa anaweza kuwa mbunge baada ya kujiunga na CHADEMA

 

Jana ilikuwa ni siku nzuri kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kumpokea mwanachama mpya Joseph Haule a.k.a Profesa Jay aliyekabidhiwa kadi ya Chama na mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu na John Mnyika.
...Read Full Story »