Tuesday, April 30, 2013

HAWA NDIO WATUMIAJI 11 WA MADAWA YA KULEVYA WENYE AKILI ZAID DUNIANI NA OBAMA YUMO.........!!!


STEVE JOBS
Imeripotiwa kwamba mwanzilishi wa Apple alitumia madawa kweny muhula wa kwanza kule Reed College in Portland, Oregon mwaka 1972. Tangu aach shule, Jobs amekuwa moja ya watu wenye mafanikio zaidi nchini America na dunia nzima kwa ujumla. Mwaka 1984,medali ya Taifa ya Technology nchini Marekani kutoka kwa rais wa kipindi hicho Ronald Reagan. Mwaka 2007, Fortune Magazine walimtaja kama mtu mwenye nguvu zaidi kwenye biashara na kisha mwaka 2011 gavana wa California Arnold Schwarzeneggerallimuweka kwenye California Hall of Fame.pia walimtaja kama CEO wa muongo (CEO of the decade) mwaka 2009 huku Forbeswakimuweka  #57 kwenye list ya “World’s Most Powerful People” mwaka huo huo.

richardbranson
Sir Richard Branson
Huku ile ‘Sir’ikimuweka kwenye list ya watu wanaoheshimiwa zaidi, hiyo sio sababu ya yeye kuwa kwenye hii list. Kinachomfanywa awekwe ni kwa sababu yeye anashika namba 236 kwenye watu matajiri zaidi duniani, mwanzilishi wa Virgin empire, ambayo inashughulika na vitu vingi kuanzia ndege mpaka maduka ya rekodi tofauti, simu,na ametengeneza utajiri wake from scratch.Sio tu kwamba a, he gets high with his 21-year-old son. alishasema mbele ya umati kwamba haoni tatizo kuhusu kutumia marijuana,na amefanya mchakato kuhalalisha utumiaji wake,na pia amesema kama ikiruhusiwa, atauza.

78802292JJ042_MUTUAL_OF_OMA

Michael Phelps
Jamaa ana medali nyingi za Olympics kuliko mtu mwingine yoyote.. Tangu alipopata skendo ya kutumia madawa, Phelps alishiriki interviews nyingi na kusema kuwa kilichotokea ni  “bad judgment,”na kuahidi kwamba kilichotokea hakitajirudia tena… hamna kitu kama hicho.. Phelps . It might be his last, but it definitely wasn’t his first. hii inamaanisha kwamba unaweza ukawa mwanamichezo namba 1 duniani lakini bado unavuta pia.  Stereotype shattered.


Francis Crick
Alishinda tuzo ya Nobel kwa kugundua ul mpangilio wa “double-helix” kwenye DNA. Rumor has it that he was on acid at the time. . Akiwa kama muanzilishi wa Soma, kikundi halali cha cannabis, pia alifanyia uchunguzi marijuana, ambapo aliamini inasaidia kufanya mtu atoe mawazo akilini mwake.

obama_youth_04

Barack Obama
Karibia kila raisi wa Marekani kabla ya Barry , kuanzia Washington, Clinton mpaka Bush, historia yake imehusisha uvutaji wa marijuana. Clintonalijaribu kwa makusudi lakini akashindwa, Bush alikuwa super-mlevi,lakini alitumia madawa ya kulevya na marijuana mara moja moja, Washington alikuwa na shamba kabisa ya marijuana shambani kwake. But as far as we know, hakuna akiyewahi kukiri kama Obama. Ameandika kuhusu historia yake na kuvuta marijuana/madawa ikwenye kitabu chake Dreams of My Father, na mwaka 2007kwenye intrview alisema “When I was a kid I inhaled frequently. That was the point.” Yoyot yule anayejiuliza kuhusu mtumiaji wa Marijuana ana future gani, amuangalie vizuri Barack Obama.Sio tu unaweza kuwa na akili, unaweza kuwa hata rais.

michael-bloomberg
Michael Bloomberg
Ameshawahi kutumia madawa alipokuwa mdogo?Kwa mdomo wake amekiri “You bet I did. And I enjoyed it!”

tedturner

Ted Turner
Akiwa peke yake aliwezakuanzisha CNN, na mwaka 1991 Gazeti la Times lilimtaja kama Man of Th YearAnamiliki ardhi kubwa marekani na ana vituo vingine kadhaa nchini humo.Alilima marijuana bwenini kwak college.


Richard Feynman
Huyu ni mwanafizikia aliyesaidia kutengneza atomic bomb.  Sikusema wote kwenye list hii wana busara. Feynman alitumia madawa akiwa anafanya tafiti mbali mbali akiwa maabara. Alipotoka,alishinda Nobel Prizekutokana na nadharia yake ya “quantum electrodynamics.”


Sergey Brin
Ana Bachelor of Science kutoka University of Maryland, Masters of Science kutoka Stanford na alichukua kozi za PhD  Stanford kabla ya kuelekeza nguvu zake kuanzisha Google akiwa na Larry PageBaba yake ni profesa  wa hesabu University of Maryland. Mama yake ni mtafiti wa Sayansi kwenye ofisi za NASA zilizopo Goddard Space Flight Center.Mke wake, Ann Wojcicki,ni biotech analyst aliye-graduate na Bachelor of Science in biology kutoka Yale University mwaka 1996. Kama Stve Jobs, ni mmoja wa watu matajiri zaidi duniani.

arnold_630x
Arnold Schwarzenegger
Huyu ndio jamaa pekee kwenye hii list ambaye ameonekana kwenye video akivuta madawa. Schwarzenegger ameacha uvutaji tangu alipewa ofisi ya ugavana. According to Arnold, marijuana “is not a drug, it’s a leaf.”

Mchezaji wa NBA Jason Collins atangaza kuwa ni shoga




Mchezaji wa kikapu katika ligi ya mchezo huo nchini Marekani, NBA, Jason Collins ametangaza wazi kuwa ni shoga. Collins aliyezichezea timu za Washington Wizards na Boston Celtics hivi karibuni anakuwa mchezaji wa kwanza kwenye timu kubwa ya ligi hiyo kujitangaza.

jason_collins
Ameweka wazi kuhusu suala hilo zito kwenye makala moja ya jarida la Sports Illustrated inayoanza kwa kusema: I’m a 34 year old NBA center. I’m black . And I’m gay”.
Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton ni miongoni mwa watu waliotuma ujumbe wa kumuunga mkono mchezaji huyo.
Collins ambaye ni free agent katika mchezo huo wa kulipwa na aliyecheza misimu 11 ya NBA akiwa na timu sita, amesema alijaribu kupoteza hisia hizo kwa kuwa na uhusiano na wanawake lakini hakufanikiwa.
Mchezaji wa zamani wa ligi hiyo, John Amaechi aliwahi kujitangaza kuwa ni shoga lakini alikuwa amestaafu tayari.

Monday, April 29, 2013

"ATAKAYEKUBALI KUIVUNJA CHADEMA ATALAANIWA HAPA DUNIANI MPAKA MBINGUNI ".....ZITTO KABWE...!!

WAKATI Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akisema kuwa chama chake sasa hakitawapokea na kuwapa nafasi za uongozi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaofukuzwa, mkakati wa kukivuruga chama chake umebainika, MTANZANIA Jumapili linaripoti.

Mbowe, wakati akitoa kauli hiyo jana mkoani Tabora, taarifa zilizolifikia gazeti hili zinaeleza kuwa mkakati unaodaiwa kuandaliwa na chama dola kukidhoofisha Chadema unaendelea kuratibiwa kwa karibu na ‘virusi’ (mashushu) waliopenyezwa ndani ya chama hicho na huenda yakaibuliwa mambo mengi zaidi yanayodaiwa kufanywa na chama hicho.

Aidha matukio yanayotokea bungeni, nguvu za dola kutumika kupita kiasi, uwepo wa ‘virusi’ ndani ya chama hicho ni miongoni mwa mambo yanayotajwa na baadhi ya maofisa wa ngazi za juu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwamba chama hicho kinaandaliwa anguko.

Taarifa zilizolifikia gazeti hili zinaeleza kuwa mkakati wa kukidhoofisha Chadema ulianza tangu siku nyingi na unaratibiwa kwa ukaribu na ‘virusi’ wanaodaiwa kupenyezwa ndani ya chama hicho, ambacho katika siku za hivi karibuni kimepata uungwaji mkono mkubwa.

Inaelezwa kuwa kumekuwa na juhudi kubwa zinazofanywa na mahasimu wa Chadema kutaka kukidhoofisha chama hicho kupitia harakati zake za kisiasa, ambazo imekuwa ikizifanya kwenye mwanga na gizani.

DIAMOND NA WASAFI NDANI YA THE SPORAH SHOW UK

Leo hii, baada ya kupia show kadhaa ndani ya London, UK, Diamond alipata nafasi ya kufanya mahojiano na kipindi cha TV cha "The Sporah Show"



Diamond akiwa na dancers wake "Wasafi" ndani ya UK

HUYU NDO BABA MZAZI WA WEMA SEPETU

Leo hii kupitia mtandao wa Instagram, Pttiman alitupia picha akiwa baba yake mzazi, mzee Sepetu, huku pembeni akiwepo mtu wake wa karibu sana "Pettiman. Nimeona ni vizuri kushare na wewe, kwasababu nilikuwa sijawahi kabisa kumuona sehem yoyote

CHRIS ANAMCHUKIA DRAKE LAKINI ANAPENDA MZIKI WAKE

Chris Brown  anaweza kuwa anamchukia sana Drake kutoka rohoni, lakini hawezi kujizuia kucheza mziki wake pale utakapopigwa Club.
might despise Drake with a passion, but even CB can't resist dancing when one of his songs comes on at the club.

Brown na Drake wamekuwa kwenye bif kwa mda sasa, tangu ile mwezi wa sita walipopigana ndani ya Club, ambapo iliripotiwa ni kwasababu ya Rihanna.
CB alikuwa anahost party stage 48,NYC, mwanzoni mwa mwezi huu, na inasemekana Dj bila uoga alipiga wimbo wa Drake unaofanya vizuri kwa hivi sasa "Started Fdrom The Bottom", badala ya ku react CB alicheza kama vile ndio wimbo anaoupenda.

Mbowe amtwisha mzigo mzito Zitto

Tabora. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemwagiza Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe kuhakikisha chama kinapata ushindi katika majimbo mengi kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Mbowe alisema chama chake kitahakikisha kinachukua majimbo ya Samwel Sitta, (Urambo Mashariki), Ismail Aden Rage (Tabora mjini) na Jimbo la Kaliua la Profesa Juma Kapuya, katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Mbowe alimwagiza mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini kuhakikisha kwamba majimbo hayo yanachukuliwa na Chadema katika uchaguzi mkuu ujao.
Alimtaka kufanya kampeni za mtaa kwa mtaa, nyumba kwa
hadi nyumba na mtu kwa mtu ili kuhakikisha kwamba wabunge hao wa sasa katika majimbo hayo hawachaguliwi tena na wananchi katika uchaguzi huo.
Katika mkutano huo uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Town School mjini Tabora, pamoja na mambo mengine alisema anazindua kampeni hiyo kwa ajili ya mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi ambapo Zito Kbwe alikabidhiwa jukumu la kuisimamia  kanda hiyo.
Aliwageukia polisi na kuwataka kukiunga mkono chama hicho ili kikifanikiwa kuingia madarakani kiweze kuwaboreshea mishahara yao kuliko ilivyo sasa akidai wanalipwa mishahara kiduchu ikilinganishwa na ugumu wa kazi yao.
“Nyie makamanda nanyi mmepigika kama sisi, sasa ninachowaomba tuungeni mkono kupambana na hawa CCM ili tuwakomboe wanyonge,” alisema Mbowe.
Awali Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zitto Kabwe alisema Kanda ya Magharibi ina historia katika nchi kwa Mkoa wa Tabora kuwa kitovu cha mapambano ya uhuru wa nchi na Kigoma kuwa kitovu cha mapambano ya mageuzi.
Mwananchi

Wanawake Maarufu 60 Africa 2013: Elsie Kanza mtanzania pekee!


Untitled-1
MEDIA AND CULTURE
Dambisa Moyo – Writer, economist
Angelique Kidjo – Musician, Activist. Benin
Biola Alabi – Managing Director, MNET Africa
Chimamanda NgoziAdichie – Author
Isha Sesay – Anchor, CNN
Julie Gichuru – Journalist. Kenya
Khanyi Dhlomo – Founder, Destiny Magazine
Mariam Doumbia – Musician
Oumou Sangaré – Musician. Mali
Patricia Amira – Talk Show Host. Kenya
Yvonne Chaka Chaka – Musician. South Africa
Tsitsi Dangarembga – Novelist, screenwriter. Zimbabwe

FASHION AND ENTERTAINMENT
Iman – Model, Philanthropist, Businesswoman
Alek Wek – Model, Philanthropist. South Sudan
Bethlehem Tilahun Alemu – Founder, Sole Rebels. Ethiopia
Charlize Theron – Actress, Philanthropist. US/South Africa
Folake Folarin-Coker – Founder, Tiffany Amber. Nigeria
Gabourey Sidibe – Actress. US/Senegal
Genevieve Nnaji – Actress. Nigeria
Lisa Folawiyo – Founder, Jewel by Lisa. Nigeria
Liya Kebede – Model, Philanthropist
Magatte Wade – Entrepreneur. Senegal
Thandie Newton – Actress. UK/Zimbabwe

BUSINESS AND TECHNOLOGY
Bridgette Radebe – Exec Chairperson, Mmakau Mining, SA
Divine Ndhlukula – Founder, Securico, Zimbabwe
Eva Muraya – Co-Founder, Color Creations Group. Kenya
Eleni Gabre-Madhin – Economist and CEO, Eleni LLC. Ethiopia
Isis Nyongo – Managing Director, InMobi Africa. Kenya
Julie Ehumian – Country Manager, Google Nigeria
Nonkululeko Nyembezi-heita – CEO, ArcelorMittal
Ory Okolloh – Policy Manager, Google Africa. Kenya
Precious Moloi-Motsepe – Chairperson, African Fashion Itnl
Rebecca Enonchong – Founder and CEO, AppsTech. Cameroon
Wendy Ackerman – Non-Exec Director, Pick n Pay Holdings
Wendy Luhabe – Entrepreneur. SA

FINANCE
Lisa Opoku-Busumbru – COO, Goldman Sachs
Cathy Echeozo – Managing Director, GT Bank
Bernadine Okeke – EVP / Head of Private Banking, First Bank
Bola Adesola – Managing Director/CEO, Standard Chartered
Genevieve Sangudi – Managing Director, Carlyle Group Africa
Gugu Msibi – Senior Partner, Ernst & Young
Linah Mohohlo – Governor, Bank of Botswana
Maria Ramos – CEO, ABSA Group
Minoush Abdel-Meguid – Co-Founder, Union Capital
Ngozi Iweala Okonji – Minister of Finance. Nigeria
Pearl Esua-Mensah – Deputy MD, UT Bank
Tsega Gebreyes – Managing Partner, Satya Capital
Yvonne Ike – CEO West Africa, Renaissance Capital

PHILANTHROPY AND ADVOCACY
Graca Machel – Humanitarian, Mozambique
Ellen Johnson Sirleaf – President of Liberia
Elsie Kanza – Head of Africa, WEF. Tanzania
Fatou Bensouda – Chief prosecutor, Intl Criminal Court. Gambia
Hadeel Ibrahim – Philanthropis
t
Jeanette Kagame – 1st Lady of Rwanda
Joy Phumaphi – VP, Human Development Network, World Bank
Joyce Banda – President of Malawi
Leymah Gbowee – Activist, Liberia
Dr Mamphela Ramphele – Activist, Academic, Businesswoman
Toyin Saraki – Founder, Wellbeing Foundation Africa. Nigeria
Nkosazana Dlamini Zuma – Chair, African Union Commission

KALI YA LEO: MARIO BALOTELLI AWAAMBIA MADRID WAKIMTOA DORTMUND BASI DEMU WAKE ATAKUWA HALALI YAO

Mario Balotelli anaweza akajiingiza kwenye ugomvi na mchumba wake Fanny Neguesha baada ya kuripotiwa kwamba ametamka kuwa ikiwa Real Madrid wataweza kubadili matokeo na kuwatoa Dortmund basi atawaaruhusu wachezaji wote wa kikosi cha Los Blancos kulala na mchumba wake huyo mwanamitindo mwenye asili ya Ubelgiji.



Mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester City ana uhakika Dortmund watafuzu kucheza fainali ya Champions League, na alikaririwa na magazeti ya AS na Marca akisema kwamba ikiwa Ronaldo na wenzie watafanikiwa kwenda Wembeley basi angemtoa sadaka mpenzi wake huyo kwa wachezaji wa Madrid.
‘Ikiwa Real Madrid watapita kwenda fainali ya Champions League, nitawaachia mchumba wangu alale nao wote!’

RAISI OBAMA ATANIA KUHUSU UTATA WA JAY Z KWENDA CUBA KWENYE CHAKULA CHA JIONI NA WAANDISHI

 Ile dinner ambayo huwa inafanyika kila mwaka ndani ya Ikulu ya Marekani "White House Correspondents", imekuwa na idadi kubwa ya marejeo ya Hip hop, kuanzia jinsi ambavyo Obama alivyokuwa akiingia, ambapo aliigia na wimbo wa Dj Khaled "All I Do is Win" 
"Mnaonaje wimbo nilioingilia nao? aliuliza Obama, Rush Limbaugh, nilikuonya kuhusiana na hili.term ya pili, baby, tunabadilisha vitu kidogo.
Actually, washauri wangu, walikuwa na wasiwasi kidogo, kuhusu kuingia na wimbo wa Rap, alikubali Obama na kusema ilikua imezoeleka kuingia na wimbo wa kitamaduni.
Obama hakuishia hapo, aliendelea na kutiririsha utani, kuhusu kumpa go ahead Jay Z, kwenye utata uliotokea kuhusu safari ya Jay Z na Beyonce kwenda Cuba na pini jipya la Jay Z linamitaja Obama.
Vitu vingine viko nje ya uwezo wangu, kwamfano, huu utata uliopo kuhusu safari ya Jay Z na Beyonce kwenda Cuba, ni ajabu, nina matatizo 99 na sasa la Jay Z.
" hili ni rejeo lingine la HIp Hop" amesema Obama akirejea kwenye wimbo wa Jay Z "99 Problems" 
Wiki kadhaa zilizopita, Rais alijiweka mbali na safari hiyo ya Jay, kwa kusema kuwa hakuwa anaelewa chochote juu ya safari hiyo ya HOV na Beyonce kwenda Cuba.



Picha: Mastaa 12 wanaoogopa kupanda/kusafiri kwa ndege

Kwa wengine licha ya kuwa matajiri, suala la kupanda ndege ni adhabu kubwa. Wanaweza kuvumilia safari ndefu ya basi ama treni lakini sio kupanda ndege. Kama wakipanda ndege, hujikuta wakiloana mwili mzima kwa jasho na kutetemeka safari nzima, hakuna amani. Hawa ni mastaa 12 wanaofahamika kuwa waoga wa kupanda ndege.

Dennis Bergkamp
Ajax+Amsterdam+v+FC+Twente+-+Eredivisie
Jennifer Aniston
jennifer-aniston-hd-wallpapers

Ben Affleck
18
Megan Fox
megan_fox_2012-HD
Whoopi Goldberg
ap111027028153
Enrique Iglesias
Enrique-Iglesias-enrique-iglesias-11773368-1024-768
Kate Winslet
Kate-Winslet
R.Kelly
r-kelly-national-anthem-ignition
KRS-One
KRS-One_Book_signing1
Aretha Franklin
4659-aretha-franklin
Britney Spears
Style: "Daylight pop minus"

Colin Farrell
Colin-colin-farrell-2692572-817-1222

Picha: Ommy Dimpoz apagawisha mashabiki wa Stockholm, Sweden

Mashabiki wa hitmaker wa ‘Me and You’ Ommy Dimpoz wa jijini Stockholm, Sweden Jumamosi iliyopita (April 27) walifanikiwa kupata burudani live ya wimbo huo na zingine.

photo(2)
Ommy Dimpoz ambaye ameongoza kwa kutajwa kwenye tuzo za Kili mwaka huu kwa nominations saba, yupo kwenye ziara ya barani Ulaya hadi May 20 mwaka huu.
photo(1)
Usiku wa kesho kuamkia May Mosi, Ommy atakuwa Oslo, Norway, ambapo atarudi tena kwenye jiji hilo May 10, tarehe 11 nchini Italia ikifuatia Gevena, Uswisi.
photo(4)
photo(5)

Wema akanusha kujifananisha na Kim Kardashian ‘she is my role model; there is no way naweza fanana naye’

Wema Sepetu amelazimika kukanusha maneno ya baadhi ya watu nchini kuwa anajifananisha na Kanye’s baby mama, Kim Kardashian.
wema na kim
Amesema anamchukulia Kim K kama role model wake na kamwe hawezi kufikia matawi yake. Akiweka picha ya Kim kwenye akaunti yake Instagram, Wema ameandika:
I’m sure everyone in life happens to have a role model…. this one ryt here is myn… maana naona watu sijui huwa wagumu kuelewa. Remind me when nimeshawahi kujifananisha na Kim k… Kim Kardashian is my role model… my idol… da woman I look upto… nat my twin…. see da difference… there is no way nawezafanana naye… she is way up there, but she will forever be my number one, hate it or love it. Aisee wabongo, dah…. but all in all still gat mad love for yall.”
Hata hivyo sio wote waliomwelewa Wema kama hawa walioandika:
Cutiezintah: Hahaaha teh teh…….. Kwa kuwa alimlilia regie bush basi na wewe ukaamua kumpigia sm diamond kumlilia….hahahalkn inapaswa kuwa role modal wako coz kitabia mnafanana karibu kila kitu…sena sasa wewe unamcopy sanaaaa mpaka unapitiliza mama…. Eti wabongo bana wewe ni nani? Mmarekani nn dd ake kim nn? Hahahahaha leo nimefrai sana ….sasa na wewe huzai mana mwenzio soon anazaa mama… Kim k wetu wa bongo …..hahahahaha huhuhu hihihi hohoho huhuhu wacha weeeeeeeE.”
Mamu_chii: I geuss u do know wat a role model means right i mean kim K got her wealth from bruce do u even watch thr meaningless family show just a bunch of rich snobs who dont hav anything better to do with thr money.good for kim K shz kinda tryn to get her shit togethr but i dont think any1 in thr right mind would choose kim k to b a role model o lead a life as hers..its absurd.poverty of wisedom is worse than poverty of material wealth.”

BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA LEMA "NITAMBULUZA MULONGO MAHAKAMANI"

     
Akizungumza na waandishi wa           habari hii leo katika ofisi ya

chadema mkoa mbunge wa
Arusha mjini Godbless Lema
ameelezea nia yake ya kumshitaki
Bw.Magesa Mulongo kwa
kumtumia ujumbe wa matisho ktk
simu yake ya mkononi.Ameeleza
kuwa Mulongo ametumia kila njia
kutafuta simu yake ikiwa ni
pamoja na kutaka kumrubuni mke
wake na pia kumtumia Mbunge
wa arumeru mashariki
kuzungumza nao ili simu iyo
iwasilishwe polisi ila
imeshindikana.'Wanasheria wangu
wapo katika hatua za mwisho
kuandaa mashitaka dhidi ya
Mulongo' amedai kamanda Lema.

    SOURCE:CHADEMA IN BLOOD FB PAGE

ANGALIA UMATI MKUBWA WA WATU BAADA YA LEMA KUACHIWA KWA DHAMANA.


OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA




OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA
                                    CHANZO CHA HABARI 2JIACHIE