Tuesday, May 14, 2013

LEMA AMKANA FROLA BAHATI ALIYEDAI KUWA AMEMBAKA.....ADAI KUWA ANATAFUTA UMAARUFU KWA NGUVU TU...!!



BIDADA MMOJA WA LONDON AMEFANIKISHA NIA YAKE YA KUTAKA KUJULIKANA KWA NGUVU, LEO MEDIA NYINGI ZIMEAMUA KUMRUSHA SALA AMBAYO AMEISALI KWA MUDA MREFU SANA, OMBI LANGU KWA CHADEMA NA MY FRIEND MBUNGE LEMA, PLEASE MSIFANYE MAKOSA YA KUMJIBU HUYO BIDADA, BINAFSI NAMJUA SANA TENA KWA KARIBU SIO MZIMA ANAHITAJI KUPIMWA AKILI, ALIKUJA HAPA DAR AKAWA HANA PA KUFIKIA NIKAMPA ALIPOONDOKA AKAENDA KUNITUKANA KWENYE BLOGU YAKE KULIKO MAELEZO, NASHANGAA SANA HAJASEMA NA MIMI NILITAKA KUMBAKA, MPUUUZENI HUYO SIO MZIMA ANAHITAJI KUPIMWA AKILI!!, 
- ITIKADI TOFAUTI LAKINI SIKU ZOTE NINASIMAMIA UKWELI TU!! KAMA INABIDI NITAKUJA MAHAKAMANI KUTOA USHAHIDI WANGU KWAMBA HUYO BIADAD SIO MZIMA SHIDA YAKE NI UMAARUFU TU KWA NGUVU!!, LEMA NA CHADEMA MSIMJIBU IN THE PUBLIC AU MEDIA PLEASE NAWAOMBENI SANA, ON THIS I AM WITH YOU 100%, NASEMA TENA MBELE YA MUNGU WANGU KWAMBA BIDADA HUYO SIO MZIMA ANAHITAJI KUPIMWA AKILI! WORD! -

No comments:

Post a Comment