Sunday, April 28, 2013

5 STARS YAZINDULIWA UPYA DAR LIVE MBAGALA DAR BAIKOKO WALIKUWEPO ANGALIA PICHA

Kundi la Baikoko lilianza kunogesha uzinduzi huo.
Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa, akisindikiza uzinduzi.
Umati ukiserebuka.
Msanii wa filamu maarufu kwa jina la Maira akijimwaya.
 Juma Nature (katikati) akiliongoza kundi lake la TMK Wanaume Halisi katika kusindikiza uzinduzi.
 Nature na Inspector Haroun wakikamua.
 Mgeni rasmi katika uzinduzi huo, RPC wa Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, Kamanda Kiondo (kushoto) akilizindua rasmi kundi hilo.
Mshereheshaji wa shughuli hiyo, Dida wa G, akizindua kwa kulipua fataki.
Msafara wa mashabiki ukimsindikiza kiongozi wa kundi hilo Ally J kuelekea jukwaani.
Ally J akiinua mkono kuwapungia mashabiki.
Msafara wa hafla hiyo ulivyokuwa.
Mashabiki wakikanyagana kutaka kumuona Ally J.
Mwanadada akifanya mikogo kwa kufusha udi wakati Ally J akiingia.
Manjonjo yaliyokuwa yakitokea jukwaani.
 KUNDI la 5 Stars Modern Taarab usiku wa kuamkia leo lilizinduliwa upya na kibao chake kipya kiitwacho Ukurasa Mpya.   Uzinduzi huo ulifanyika ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem Jijini Dar es Salaam.
 PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY / GPL     

No comments:

Post a Comment