Monday, April 29, 2013

Nahreel na Aika waanzisha kundi jipya ‘Navy Kenzo’

Baada ya kujitoa kwenye kundi la Pahone, mtayarishaji wa muziki Nahreel na Aika wameanzisha kundi jipya liitwalo Navy Kenzo.
BI75HskCYAAGQan
Katika kundi hilo Nahreel na Aika wameongeza member mmoja aitwaye Weezer na hivi karibuni watatambulisha wimbo wao mpya, Hold Me Back.
Kundi la Pahone lililokuwa likiundwa na members wanne lilivunjika kutokana na kutokuelewana.

No comments:

Post a Comment