Saturday, April 27, 2013

Ugumu wa maisha Dogo ajificha chini ya gari toka Dar mpaka Dodoma..!!

Hali za maisha zinawalazimisha watu kufanya mambo ya hatari kabisa kwa uhai wao.

Pichani ni kijana mwenye umri wa miaka 14 akitoa maelezo baada ya kusaidiwa kutoka kwenye chassis ya basi alilokuwa amejificha tangu Dar es Salaam mpaka Dodoma. 

No comments:

Post a Comment