Saturday, April 27, 2013

Jennifer Lopez na Chris Brown waingia studio kufanya collabo

Jennifer Lopez ameingia studio na kufanya ngoma aliyomshirikisha Chris Brown.
gallery_main-jennifer-lopez-chris-brown-01
Katika mahojiano na kipindi cha Extra na mtangazaji Mario Lopez, Jennifer alisema walifanyia kazi idea nyingi na pia kuzungumza kufanya wimbo mwingine kwenye albam ya Chris.

No comments:

Post a Comment