Monday, April 29, 2013

BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA LEMA "NITAMBULUZA MULONGO MAHAKAMANI"

     
Akizungumza na waandishi wa           habari hii leo katika ofisi ya

chadema mkoa mbunge wa
Arusha mjini Godbless Lema
ameelezea nia yake ya kumshitaki
Bw.Magesa Mulongo kwa
kumtumia ujumbe wa matisho ktk
simu yake ya mkononi.Ameeleza
kuwa Mulongo ametumia kila njia
kutafuta simu yake ikiwa ni
pamoja na kutaka kumrubuni mke
wake na pia kumtumia Mbunge
wa arumeru mashariki
kuzungumza nao ili simu iyo
iwasilishwe polisi ila
imeshindikana.'Wanasheria wangu
wapo katika hatua za mwisho
kuandaa mashitaka dhidi ya
Mulongo' amedai kamanda Lema.

    SOURCE:CHADEMA IN BLOOD FB PAGE

No comments:

Post a Comment