Sunday, April 28, 2013

PICHA: KAMA ULIKUWA HUFAHAMU, DOTO WA MAUJANJA SAPLAYAS [MAPACHA] AMEOA JANA

Hii ni picha moja tu kutoka kwenye sherehe ya harusi ya rapa huyu ambayo inaendelea hivi sasa, imekuwa kama kimya kimya hivi ila tunaendelea kufuatilia.

Picha Zingine Zinakuja
Mapacha

No comments:

Post a Comment