Saturday, April 27, 2013

JUSTIN BIEBER MAJANGA

JUSTIN BIEBER
Justin Bieber huenda akaingia katika matatizo tena na vyombo vya sheria hasa baada ya basi ambalo analitumia katika ziara yake kupekuliwa na polisi na kukutwa na dawa za kulevya ambazo bado hazijathibitishwa kuwa ni aina gani.
Mpaka sasa bado hakuna mtu yoyote ambaye amekamatwa kwa tukio hili kutokana na maelezo kuwa hakuna mtu aliyekuwepo katika basi wakati linapekuliwa.
justin-bieber-tourbus

No comments:

Post a Comment