Sunday, April 28, 2013

JE MARIAH CAREY KUTIMULIWA IDOL ?



Kwa mujibu wa jarida la The Hollywood Reporter waandaaji wa shindano la kusaka vipaji vya kuimba la American Idol na wakurugenzi wa televisheni ya Fox walikuwa wakifanya mpango wa siri wa kumtema jaji Mariah Carey na nafasi yake kumpa aliyekuwa jaji wa  zamani Jennifer Lopez, ingawa jambo hilo limeshindikana

Vyanzo kutoka ndani vinasema kuwa watu wa Mariah Care walikuja juu na kuwatishia kuwaburuza waandaaji mahakamani hivyo mpango huo ukafaa

Waandaaji wanasema kuwa bado wapo katika mazungumzo na J Lo ili awepo katika fainali ya shindano hilo kisha aendelee nalo mpaka msimu ujao ambao ni wa 13

No comments:

Post a Comment