Saturday, April 27, 2013

LISTI YA MASTAA 10 WA KIKE WANAOFUNIKA KWA MITINDO NDANI YA BONGO.



Celebrities siku zote huangaliwa katika mambo mbalimbali yakiwemo ya fashion, jinsi wanavyovaa huweza kuvuta attention mbele za watu au kupoteza mvuto mbele za watu kama wanavaa vibaya pasipo kuendana na eneo husika, muda na wakati. Here Swahiliworldplanet is giving you 10 Tanzanian female celebrities who are more stylish, these are from the fashion industry, urembo, movies na muziki.

1.Jackline Wolper.
 Tofauti na katika filamu ambapo mara nyingi mavazi huwa tatizo lakini katika maisha yake halisi Wolper amekuwa akivaa vizuri kwa kuepuka mavazi yanayouweka wazi sana mwili wake kama baadhi ya waigizaji wenzake wa kike wanaopenda kuacha miili yao nje kwa kuvaa nguo fupi kupitiliza au zinazoonyesha miili yao. Wolper huweza kubeba rangi nyingi na mitindo ya kizungu na kiafrika na kumkaa vizuri. Amekuwa akibadilika mara kwa mara katika fashion zake kuanzia nywele mpaka mavazi na mara nyingi hupendeza.
2. Rita Pauslen(Madam Rita)
Tayari amejijengea jina as a fashion icon na mara nyingi hawezi kukuangusha katika uvaaji. Huweza kuvaa mitindo yote ya kiafrika na kizungu na amekuwa mstari wa mbele kuwasapoti wabunifu wa Tanzania kwa kuvaa kazi zao mara nyingi akidizainiwa na Eve Collections, she always looks classy
3. Millen Magese.
As an international supermodel from Tanzania Millen always look stunning in any attire. She can go with many trends and colors with her angelic look. Pia anautunza sana mwili na muonekano wake kiasi cha kuonekana kuwa ndiyo katwaa taji la Miss Tanzania jana wakati ni zaidi ya miaka 10 sasa tangu atwae taji hilo huku washindi wa miaka ya hivi karibuni wa taji hilo wakiwa hoi katika kutunza shape na looks zao.

4.Shaa.
She is a true fashionista in the Tanzanian music and entertainment industry. Hata katika video zake mara nyingi fashion hupewa kipaumbele sana na ni moja ya vitu vilivyomjengea jina licha ya muziki wake mzuri. Hupenda kubadilika kuanzia mitindo ya nywele mpaka mavazi.
5. Nancy Sumary.
As Miss Tanzania and Miss world africa 2005 amekuwa akihakikisha anajiweka katika muonekano na fashion zenye hadhi yake. Nancy ni fashionista wa ukweli siku zote.
6.Myler Nyangasa
As a model and Miss international Tanzania 2008-2009 Myler siku zote yupo hot and with her angelic look and appearance usipokuwa makini nae anaweza kukupoteza katika event kama hukujiandaa vizuri kimavazi. She can carry almost all colors and all from western touches to african prints.

Vanesa Mdee.
Mtangazaji huyu na singer wa Bongo pia amejipatia umaarufu kupitia fashion zake ukiachilia mbali kipaji chake cha utangazaji na muziki. Vanesa hupenda kubadilika interms of fashions from african touches to western spices and kote huko huonekana matawi ya juu.
8. Gyver Meena.
Siku zote Gyver as a model, fashion blogger and fashion journalist hakuangushi katika suala la viwalo vinavyoendana na mwili wake. Mitindo mingi inamkaa vizuri sana wakati kwa wengine wanaweza kuchemka.
9. Asia Idorous
Ni dizaina maarufu ambaye amekuwa na moyo wa kipekee katika kuwasaidia wabunifu chipukizi waonyeshe vipaji vyao katika kazi zao.
 10. Jokate katika mavazi yupo juu pia na mara nyingi amekuwa makini na mavazi ya ajabu ajabu ili asichafuke mbele ya jamii. siku zote yupo hot.

No comments:

Post a Comment