Sunday, April 28, 2013

KLOPP Mourinho KANIAMBIA ANAKWENDA CHELSEA

 

 

Mourinho anaweza kuaonekana anarejea kuifundisha chelsea msimu ujao  kwa mujibu wa Jürgen Kloppkatika mechi ya  Borussia Dortmund-Real Madrid , alinukuliwa na gazeti la  Bild la kijerumani .
 Mourinho anafanya kazi kwa kuitengeneza chelsea  'Na Blues' wanaonekana kukitengeneza kikosi cha kwa kutaka huduma ya  Lewandowski, na inaonekana amezungumza na kocha huyo wa ujerumani ambaye unaweza kumuona picha wakiwa wanafanya utani wakati wa mechi ya ligi ya mabingwa hatua nusu fainali ya klabu bingwa bara ya ulaya katika uwanja wa  Iduna Park .

No comments:

Post a Comment