Saturday, April 27, 2013

SIZE-8 ALILIA BIKRA YAKE NA KUTOA SABABU.

Mwanamuziki  aliyeitikisa vilivyo Kenya kabla ya kuokoka na kuachana na miziki wa kidunia, mwanadada Size 8 sasa ameanza kufunguka katika interview kwenye vituo
mbali mbali vya redio na Tv kuhusiana na maisha mapya ya kidini.

Kati ya yote ambayo Size 8 amekuwa akiyaongelea, ni moja tu ambalo amekuwa akilitilia mkazo kwa kumaanisha kuwa linamsikitisha zaidi ni suala lake la kupoteza BIKRA, Size 8 amewaambia watu kuwa  "Najutia sana kupoteza bikra yangu. Ninaamini kuwa kijana anatakiwa kujilinda na kujizuia kufanya ngono katika ujana wake wote mpaka atakapo pata kibali toka kwa Mungu."

No comments:

Post a Comment