- Jack Wolper Aonesha Uwezo wake wa kucheza Ukumbini kucheza Ukumbini Media Bar, Udaku Leo, Urembo 2:13 AM VIUNO alivyokatika staa maarufu wa filamu, Jacqueline Wolper viliwachengua ile mbaya watu waliohudhuria harusi ya wasanii maarufu wa Bongo Movies, Jimmy Mafufu na Idrissa Makupa ‘Kupa’. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika Ukumbi wa Urafiki uliopo Ubungo, jijini Dar baada ya wasanii kwenda mbele ya ukumbi kwa zamu na kuonyesha uhodari wa kuyarudi mangoma ambapo ilipofika zamu ya Wolper, alionekana kuwazidi wenzake kwa utundu wa kucheza. Baada ya kuonesha vitu adimu ambavyo havikuoneshwa na staa yeyote kati ya waliomtangulia, wageni waalikwa walishangilia na kupiga makofi hadi aliporejea sehemu aliyokaa awali
Thursday, April 4, 2013
Jack Wolper Aonesha Uwezo wake wa kucheza Ukumbini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment