TIMBWILI la aina yake liliibuka hivi
karibuni katika nyumba ya kulala wageni maeneo ya Chalinze
Bagamoyo kufuatia mumewe aliyefahamika kwa jina la Abuu kumnasa
mkewe akiliwa uroda na rafiki yake wa karibu aliyefahamika kwa
jina la Benard Celestin....
Tukio hilo la aibu lilitokea saa
11:00 alfajiri ya tarehe 27 march mwaka huu baada ya mumewe
kuweka mitego mikali iliyopelekea kumnasa live mkewe akipewa
mambo na rafiki ya mumewe.....
Kabla ya fumanizi hilo, mumewe aliaga
anaenda Dar.Mkewe alimsindikiza mpaka stendi huku akiwa na
furaha tele.....
Jamaa alishukia njiani na kurudi kinyemela.....Za mwizi arobaini, mida ya saa saba usiku,Gari lenye rangi nyeupe lilitua nyumbani kwa jamaa na kushuhudia mkewe akitoka nje na kupanda ndani ya gari hilo.........
Mumewe pamoja na kundi zima la waandishi wa Udaku-GPL walianza kulifuatilia mpaka walipofanikiwa kumnasa mwanamke huyo na rafiki wa mumewe.....

No comments:
Post a Comment