Kutokana na utafiti uliofanywa na timu nzima
ya www.thechoicetz.com,
imebaini wasanii 6 upande wa muziki wa kizazi kipya wanaoheshimika sana
Tanzani katika jamii.Vigezo vilivyo zingatiwa katika utafiti huu ni
pamoja na kutobaini skendo za ajabu ajabu kwa hawa wasanii,pia hutumiwa
katika utoaji nasaa mbalimbali katika jamii pia wanajiheshimu katika
mambo yao kwa ujumla. 1.LADY JAY DEE |
Mwanadada JIDE ama binti machozi ameweza
kuongelewa sana kama msanii
anayeheshimika sana tanzania kutokana na idadi kubwa ya watu walio
hojiwa kumtaja yeye kama ndo mwana muziki mwenye kuheshimika sana
tanzania kwa upande wa muziki wa kizazi kipya
2.PROF J |
kuwa na sifa mbaya zinazo weza kumchafulia heshima yake
3.FID, Q |
4.A.Y |
5.MWANA FA |
Binamu ama waweza sema pacha wa A.Y kutokana na kuwa na urafiki wa
karibu sana na wa muda mrefu na A.Y.mWANA FA pia katajwa kwa idadi kubwa
ya wadau kama mtu anayeheshimika sana nchini hasahasa katika nyanja hii
ya muziki wa kizazi kipya.
6. JUMA NATURE |
Juma Nature ama kiroboto, ni mtu asiye penda makuu pia kazungumziwa kama
mtu anayependa kuona watu wote wakiwa sawa na hapendi kuona manyanyaso
kwa watu wengine sababu ya kuto kuwa na uwezo.Wamemtaja kama mtu mwenye
nyota ya kupendwa sana na watu kwani yaonyesha anaweza akakaa hata
miaka kadhaa bila ya kutoa wimbo wowote ila pindi apandapo tu jukwaani
watu hufarijika hata aimbapo nyimbo za zamani.
Imefanyiwa utafiti na kuandaliwa na Timu nzima ya www
Imefanyiwa utafiti na kuandaliwa na Timu nzima ya www
No comments:
Post a Comment