Friday, April 5, 2013

SIMBA ANAPOWEKWA MTU KATI.

robertmgulunde@gmail.com

Simba akiokoa maisha yake baada ya Mbogo aliyekua akimfukuza kwa kitoweo kukimbilia kwa wenzake. Mbogo wote kwa pamoja walimgeuzia kibao Simba huyo aliyeamua kusalimisha maisha yake kwa kutokomea kizani.

No comments:

Post a Comment