
Jay Z na Beyonce walionekana pande za Cuba wakisherekea miaka mitano ya ndoa. Beyonce na Jay Z walifunga ndoa jijini Paris on April 4, 2008.
Beyonce posed for pictures with local schoolchildren while Jay-Z puffed on a Cuban cigar. Beyonce na Jay Z hawakutaka kuongea na waandishi wa habari na haijulikani kwanini wamechagua cuba.<
>

Siku ya jumatano jioni, wanandoa hawa walionekana katika restaurant La Guarida wakipata dinner huku police wakiwa busy kuuzuia umati wa watu.
No comments:
Post a Comment