Wednesday, May 15, 2013

Taarifa toka VATICAN:Mhashamu Askofu mkuu Norbet Mtega astaafu rasmi


Balozi wa baba mtakatifu nchini Tanzania ametoa taarifa mchana huu kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuwa Baba mtakatifu FRANCIS amekubali kisheria ombi la kustaafu kwa mhashamu askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki la Songea.Nafasi yake imekaimishwa kwa askofu TARCISIUS NGALALEKUMTW(ASKOFU WA JIMBO LA IRINGA NA RAIS WA TEC) kuwa msimazi wa jimbo katoliki la Songea.


Taarifa imesomwa mchana huu na RADIO MARIA(RM) TANZANIA

No comments:

Post a Comment