Tuesday, May 7, 2013

Alichokisema professa Jay kuhusu miaka 13 ya Lady Jay Dee


 

Baada ya Lady Jay Dee kutangaza siku ya kuachia album yake mpya sasa #Fahamu hiki alichokisema professa Jay kuhusu miaka 13 ya Lady Jay Dee

"Nitakuwa na @JideJaydee kwenye show yake ya miaka 13 ya LADY JD, Kwa NGUVU zangu zote, AKILI zangu zote na UWEZO wangu wote, KARIBUNI SANA"

No comments:

Post a Comment