Kwa wale ambao mpo katika mahusiano ya mbali, either mwingine yupo wilaya, mkoa au hata nchi nyingine, kutokana na technology inayokua kwa kasi, sasa imetengenezwa application maaalum kwa ajili yenu, atleast kuondoa tofauti ya umbali mlionae, kwa kuwawezesha kumshika mwenzi wako kwa kupitia technology hiyo inayoitwa "durex Fundaware.
No comments:
Post a Comment