Saturday, May 25, 2013

Wachina Waanza Kukimbia Kutoka Mtwara



    Baadhi ya wachina wanaofanya biashara ndogongo hapa mjini, pamoja na wale wanaofanya kazi kwenye makampuni ya kuchimba gesi, wameanza kukimbia kutoka Mtwara. Ofizi zao zote zimeharibiwa na hakuna hata mmoja anayeonekana. Hatujui wamekimbilia wapi kwa maana hata kwenye makazi yao hawapo, ila wengine walionekana wamejazana kwenye landcruiser wakiifuata njia ya kurudi Dar.

No comments:

Post a Comment