Wednesday, May 29, 2013

Diamond – “Picha za mwisho nikiwa na Ngwair. Simanzi kubwa imetawala moyo wangu”


ngwear-mangwear-diamond
Pamoja na ku-share picha zao za pamoja, hapa chini ni alichoandika msanii Diamond Platnumz kuhusu kifo cha mkongwe wa Bongo flava, Albert “Ngwair” Mangwair
:

“Bado binafsi naona kama nipo usingizini na ni ndoto ndefu ambayo naiota pasipo kuamini kama ni kweli nachoota au Lah….Lakini ukweli unabakia kuwa pale pale Albert mangwea atunae tena Dunia..

Ni vigumu kuamini hata kwa mashabiki wa muziki kuwa Nguli huyu wa Muziki wa Hip Hop ayupo tena Dunia…. Mara ya mwisho Binafsi nilikutana na Albert Mangwair maeneo ya sinza Mori…Ilikuwa Location ya video ya Madee Pombe yangu,nae alikuwa amealikwa na akaja kutoa support yake kwa hali na mali… mpaka now nahandika ni simanzi kubwa imetawala na huzuni kubwa ndani ya moyo wangu…..

INNALILAAH WAINA ILAIH RAAJIUN”
ngwear-mangwear-diamond-0

ngwear-mangwear-diamond-1


No comments:

Post a Comment