Friday, April 26, 2013

Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 49 ya Muungano Jijini Dar es Salaam Leo



Juu ni picha mbalimbali za matukio ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 49 ya Muungano zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Leo.(Picha zote na Ikulu)
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akiwapungia mkono wananchi na wageni waalikwa katika Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 49 ya Muungano zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Leo. Kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Devis Mwamunyange.

No comments:

Post a Comment