Mbegubora
BLOG KALI KWA WATU WOTE.
MASTAA WA BONGO
Pages
Home
VICHEKESHO
MAPENZI NA MAHUSIANO
CONTACTS
Thursday, April 25, 2013
Picha: Muonekano wa Jamie Foxx kama Max Dillon kwenye Spider Man ni vituko tupu
Leo picha zingine za Jamie Foxx akiwa location kwenye filamu mpya ya Amazing Spiderman 2 kama Max Dillon (Electro) zimetoka.
Akiwa kama fundi umeme, Foxx ataonekana akiwa na uvaaji unaochekesha sana.
Katika filamu hiyo muigizaji huyo anayeigiza kama Max Dillon atapigwa shoti ya umeme na kubadilika kuwa jitu liitwalo Electro.
Jamie akiwa kama Electro ambaye ni adui kwenye filamu hiyo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment