Thursday, April 25, 2013

NDINGA YA JAGUAR WA KENYA

bantley

Mkaree anayefanya poa sana nchini Kenya Jaguar baada ya kuachia trak yake mpya iliyobatizwa jina ‘Kipepeo’ hivi sasa anafanya shooting ya kichupa chake kipya.
Ni hivi karibuni habari zimeenea kuwa Jaguar amekuwa ni msanii mwenye mafanikio hadi kufikia kununua gari la kifahari aina ya Bentley ambalo limetumika mahususi kwa ajili ya video shoot ya kichupa hicho.
Gari jipya aina ya Bentley thamani yake ni $200,000 hadi $500,000 inategemea na ni model gani

No comments:

Post a Comment