Mbunge Msigwa akishuka katika gari ya polisi baada ya kufikishwa mahakamani mchana huu
Mbunge Msigwa akishuka katika gari hilo la polisi tayari kwa kuelekea chumba cha mahakama
Wakili wa Msigwa kulia akiteta jambo nje ya mahakama
Kada
wa Chadema Frank Mwaisumbe akiingia na viongozi wengine wa chadema
mahakamani hapo huku wafuasi wao wakizuiwa nje ya mahakama
Wafuasi
wa Chadema wakiwa wamezuiliwa nje ya viwanja vya mahakama kuu kanda
ya Iringa wakati mbunge alipofikishwa katika mahakamani mchana huu
Ulinzi mkali kweli kweli ..NA FRANCIS GODWIN
No comments:
Post a Comment