Picha za aibu zinazowaonesha wasanii wa kundi la Ze Komedi wakiwa kwenye fukwe moja ya huko Kigamboni zimezua balaa kubwa ......
==
Mtandao huu umefanikiwa kuzipata picha hizi kutoka kwa msomaji wetu mpendwa ambaye kwa uzalendo wake ametutumia kwa njia ya email huku akielezea kwa kifupi kuhusu sakata hilo la aibu.....
Happy akichezewa matiti na master Face huku akichekelea
Huyu
ni Happy na Master Face wakifanya Uchafu wao....Hapa
wanatomasana kabla ya uzalendo kuwashinda na kuamua kuvunja amri
ya sita...
Vipi baby....umezidiwa.....!!!! Aibu tupu
==
Mdau
huyo anaripoti kwamba, kundi hilo liliingia ndani ya ufukwe
wa Chadibwa na kuanza kufanya mambo ya aibu mbele ya
watu.....
Wasanii
walioongoza kwa mambo ya aibu ni mdada mmoja aliyejulikana
kwa jina la HAPPY ambaye ni mrembo aliyejigeuza mbwa na
kukubali kushikwashikwa ovyo matiti yake na viungo vingine
"sensitive" bila kujali watu.....
Matiti bado yanaendelea kuteswa
Kiwewe naye alikuwa kivyake na wakwake.....
Mbali na Happy, kulikuwa na Msanii KIWEWE ambaye yeye alikuwa akijimilikisha VIUNO vya mabinti hao bila aibu.....
Achilia
mbali Kiwewe, alikuwepo pia MANAIKI SANGA ambaye naye alikuwa
akikumbatia watatu watatu....Cha ajabu ni kwamba, yeye alikuwa
kavaaa, akina dada walikuwa uchi.....
Aliyetia
aibu ya mwaka ni MASTER FACE ambaye kwa mujibu wa mdau
alitutumia picha hizi ni kwamba yeye na HAPPY walifikia hadi
hatua ya kuvunja amri ya sita nyuma ya gari.....!!!!
Uzalendo uliwashinda wakaamua wamalizane....
Asante sana mdau kwa picha na maelezo.....
No comments:
Post a Comment