kaka Diamond akanusha Kuiwakilisha Tanzania Kwenye Shindano la Big Brother Africa Mwaka Huu
Roomy
Jones Ambae ni Binamu wa Diamond na pia ni Mtangazaji wa Clouds
ilisemekana ndio atake iwakilisha Tanzania katika Shindano la Mwaka huu
la Big Brother na kuandikwa sana na vyombo vya habari hasa blogs
..Including me ....Jana aliongea akasema yeye hana taarifa zozote kuhusu
kuhusika kwake katika Shindano hilo japo alishiriki katika Mchakato wa
kumtafuta mshiriki toka TZ ....Imebaki week moja shindano lianze so Its
obvious Sio yeye Atakaye Iwakilisha Tanzania Kama mpaka sasa Hajapigiwa
Simu na Multi Choice...So guys lets Wait for 26 of May shindano
litakapoanza kumjua Mwakilishi wa TZ....
No comments:
Post a Comment