Katika hali ya Amani kimuziki Msanii Nay wa Mitego amemrushia vijembe Msanii mwenzake Diamond Platnumz Jionii ya Leo......'' Niliamua kumwendea hewani Nay wa Mitego Kujua kajianda vipi kuhusiana na Show ya kesho Usiku Darlive......Na Mnukuu Nay wa Mitego akifunguka baada ya swali aliloulizwa, Nay''Napenda kumwambia bwana mdogo Diamond kuwa kesho akae tayari kwa kuwa naenda kuandika Historia Mpya Darlive,Nataka watanzania wote wajitokeze waje kuona navyomkalisha mbana pua na wavaa nguo za dada zao wanaojidai kwenda sawa na utandawazi......''
Nay alizidi kufunguka kuwa kesho ndo utakuwa mwisho wa Diamond na kumthibiishia kuwa Hip Hop ndo muziki unaolipa na wenye maana zaidi......!!
Hayo ndo maneno aliyoyatoa Nay dakika chache zilizopita alivyopigiwa na Mwandishi wa This Is Diamond Kuhusiana na Show kubwa kesho Darlive......
Stay Tuned Nitamuenda Hewani The Kid From Kigoma baada ya kumfikishia ujumbe huu wa Nay... Je maneno hayo kakubaliana nayo....? Stay here kusubiria jibu la Diamond Juu ya ujumbe huu.....!! |
No comments:
Post a Comment