King
Selemani ama Afande Sele kutoka mji kasoro bahari Morogoro ni moja ya
watu wanaoonekana kuwa ‘addicted’ na ushabiki wa soka kiasi cha
kushindwa kuvumilia maumivu ya kufungwa kwa timu anayoishabikia, Simba
kitendo kilichompelekea asuse kula toka Jumamosi.
Akizungumza na Suddy Brown katika segment maarufu ya U Heard kupitia XXL ya Clouds FM, mke wa rapper huyo mkongwe Mama Tunda, amethibitisha kuwa mumewe amegoma kula toka siku ya mechi. Mbaya zaidi kwa Afande ni kuwa Mama Tunda na binti yao Tunda ni mashabiki wa Yanga hivyo wao na Selemani Msindi ni mashabiki wa timu mbili pinzani, hatupati picha humo ndani panavyokuwa ikifungwa timu anayoshabikia baba wa familia!. Minuno ya hatari bila shaka. Pole Afande.

No comments:
Post a Comment