KAMPUNI
ya Azam Marine, inaleta boti mpya ya Kilimanjaro 4, ambayo inatarajiwa
kuwasili nchini nchini, kuanzia mwishoni wa mwezi huu, ikiwa na uwezo
wa kubeba abiria 700 na kutumia muda wa dakika 70 kwa safari moja ya kati ya Zanzibar na Dar es Salaam. Hii ni boti mpya kabisa katika muendelezo wa boti za Kilimanjaro, ambayo itakidhi
mahitaji ya wasafiri wa eneo hili kwa kuwa inabeba sifa zote, ambazo
ni Usalama, Kasi zaidi na Unadhifu. Kaa tayari kwa mzigo mpya kutoka
Azam Marine.
No comments:
Post a Comment