Saturday, May 11, 2013

ALICHOKISEMA FID Q, BAADA YA NIKI MBISHI KUTOA WIMBO UNAOKWENDA KWA JINA LA NEY WA MITEGO. SOMA HAPA


Rapper mkali kutoka MWANZA, FID Q ameonekana kuutazama wimbo mpya wa NIKKI MBISHI kama moja ya vitu vinavyoweza kupekea BEEF kubwa kati ya msanii huyo na NEY WA MITEGO ...

FID Q aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya kuulizwa swali kwenye program yake ya mara kwa mara mtandaoni humo ya #ASKFidQ kuhusiana na wimbo huo ...
Swali lilikuwa hivi: Nini mawazo yako juu ya nikki mbishi na his new track (ney wa mitego) ??
@FidQ akajibu, "Nisingependa kuona beef kati yao ..."
FID is one of the illest Hip-Hop emcees in TANZANIA na hilo halina ubishi, ni lipi ameliona katika mdundo huu wa HIP-HOP wa NIKKI MBISHI ?? BEEF kali kuibuka ??
Anyway, ngoja tuskilizie tuone ... Na kama hujausikia mdundo huo wa NIKKI MBISHI unaofahamika kama NEYWA MITEGO

No comments:

Post a Comment