Wednesday, May 8, 2013

Free at last: Ja Rule atoka jela

Baada ya kutumikia kifungo cha karibu miaka miwili jela, hatimaye rapper Ja-Rule ameachiwa. Ja Rule alikuwa jela kwa makosa ya kukwepa kulipa kodi na kumiliki silaha.
jarule
Ameachiwa miwezi miwili kabla ya muda kwenye gereza la Ray Brook jijini New York jana. Rapper huyo alipokelewa na mke wake na kuelekea nyumbani ambako atakuwa kwenye ‘house arrest’ hadi July 28.

No comments:

Post a Comment