Saturday, May 4, 2013

"Hakuna Zawadi Kubwa niliyopewa na Mungu Zaidi yako Wewe Diamond"..Penny

Pengine  utundu  wa Diamond  ndo  kitu  pekee kinachowafanya  akina  dada  wamgombanie.. Leo ni birthday ya Penniel Mungilwa na mpenzi wake Diamond Platnumz, amemwandikia maneno matamu.


“Sometimes I wish you could know how much you mean to me…its a lot’..fu***n a lot, I can’t even explain it.. It’s even more than money… sometimes I don’t even know how to col u, a wife, friend,sister,bedmate, partner.. Ooh God! I don’t know coz you are more than dat,”

“Siku zote umekuwa mwema, mkarimu,mpole,nidhamu na mwenye mapenzi tele juu yangu…. You always should keep this in your mind “I LOVE YOU SO MUCH”… Happy birthday Darling.”ameandika Diamond


Kwa maneno haya, hakuna msichana anayeweza kujizuia kulia kama akiambiwa na mpenzi wake.



 Baada ya kuona ujumbe huo ulioandikwa na Diamond kwenye Instagram, Penny amejibu:


“Baby u just made me cry!! Oh God Naseeb I luv u so much hubby…wallahi sina hata cha kujibu to make u understand How I appreciate ur sweet luv,God has given me so many things but bringing u in my life is the best gift I have received…U just made my day,years,a lifetym…I wont forget this…thank u hubby.”


HAPPY BIRTHDAY PENNY.

No comments:

Post a Comment