Wednesday, May 8, 2013

Rose Muhando, Upendo Nkone, Bahati Bukuku na wengine kuchuana kwenye Groove Awards 2013 (Kenya)

Kenya, Groove Awards 2013.
Waimbaji wa muziki wa injili nchini Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Christina Shusho, Martha Mwaipaja, Rose Muhando na Upendo Nkone wametajwa kuwania tuzo kubwa zaidi za muziki wa injili za nchini page
Waimbaji hao wote wametajwa kwenye kipengele kimoja cha ARTIST OF THE YEAR (TANZANIA).

No comments:

Post a Comment