Tuesday, May 7, 2013

50 Cent amkejeli tena Rozay! Aweka picha ya Rick Ross akiwa na P.diddy na kuandika "Good Morning Girl...love is in the air"..Iangalie hapa



Wote tunafahamu kuwa hakuna maelewano mazuri kati ya rapper 50 Cent na boss wa MayBach Rick Ross, leo kupitia Instagram kaweka picha ya Rick Ross akiwa na P.Diddy ambayo ukiitazama kwa haraka haraka  inaweza kukupa tafsiri tofauti kidogo, na kisha akaandika caption 'Good Morning Girl. love is in the air"

No comments:

Post a Comment