Wednesday, May 8, 2013

Msikilize Juma Nature akizungumzia biashara ya ndala aliyoianzisha


Suala la mtangazaji wa EATV Sam Misago kumtoa nje ya studio Juma Nature kutokana na kuvaa ndala, limemsaidia kiongozi huyo wa Wanaume Halisi kuanzisha biashara mpya, ya ndala.

408926_316227358428392_2024435435_n
Akiongea na XXL ya Clouds FM, Nature amesema tayari ameshasaini mkataba na kampuni moja kuanza kuuza ndali hizo ziitwazo Halisi na wiki ijayo zinaweza kuingia mtaani.
Msikilize zaidi hapa.

No comments:

Post a Comment