Wednesday, May 8, 2013

ZITTO KABWE AMPA USHAURI JIDE KUHUSU BEEF NA CLOUDZ.

Mgogoro kati ya Lady JayDee a.k.a Anaconda na uongozi wa Clouds Media Group bado ni issue, mengi yameshazungumzwa lakini kuna tweet moja ambayo mh. Zitto Kabwe ameona inafaa zaidi kuleta mabadiliko katika mzozo huo.


Zitto aliirudia Tweet ya Absalom Kibanda ya May 5 iliyosemeka.

 “An Iron Lady! Turn back and forgive. There’s power behind forgiveness”

Lady JayDee nae akamjibu:

@absakibanda Nakuelewa sana brother


Tweet ya Absalom ilimvutia zaidi Zitto Kabwe ambae aliandika:

“This tweet will surely bring peace. Watch “@absakibanda: @JideJaydee An Iron Lady! Turn back and forgive. There's power behind forgiveness”


Na akasisitiza zaidi na kusema hili ni neno la Busara:

“+1 in these words of deep wisdom “@absakibanda: @JideJaydee An Iron Lady! Turn back and forgive. There's power behind forgiveness

No comments:

Post a Comment