Breaking Newzzzzz.....Kanisa Lingine Lalipuliwa Kwa Bomu Hivi Punde Dar es Salaam
Taarifa zilizotufikia hivi punde, Bomu limelipuka katika Kanisa la Kilutheri la Kiinjili Tanzania (KKKT), Kunduchi jijini Dar es Salaam. Taarifa nyingine zinasema kanisa lililolipuliwa ni la Katoliki. Taarifa hizi tunazifuatilia zaidi katika vyombo vya usalama kupata ukweli wa tukio hilo.
No comments:
Post a Comment