Saturday, May 11, 2013
MRISHO MPOTO AMPA MAKAVU JIDE.
Leo hii katika show ya harakati za cloudz fm twenzetu mrisho mpotto alipata kunene haya kuhusu jaydee "Inatakiwa kujipanga hivi sasa leo na tena ,Gerlad Hando ;Zitto Kabwe amewappoint baadhi ya wasanii humu ndani watu wote wamewataja watu baadhi ya wasaniii humu ndani unatafakari vipi ili uendelee kusustain kwenye shelf ,Mziki wa Tanzania kama mbio za vijiti ni kupokezana ukiona amechukua kijiti mwenzako usilalamike kwenye media; jua wakati wako umepita,hukujipanga,wapishe wenzio unataka ubaki peke ako wewe alisisitiza,unalalamika unakwenda kwenye madia oh nimeonewa nimelalamika vipi nimefanyiwa hivi nimefanyiwa hujuma ni kwa sababu tu hukujipanga mwenzako anataka achukue kijiti akimbie nacho Mimi inaniuma sana inaniuma sana ninapoona jitihada ama harakati ambazo zinafanywa na CLOUDS MEDIA leo hii watu wengine wanakuja wanalalamika eti zinawahujumu nanai alikua anaujua mziki wa bongo flava zamani? nani alikuwa anaujua mziki wa taarabu? nani alikua anaujua mziki wa dansi?hakuna!! lakini wametune audience wametengeneza thamani ya muziki leo hiii tunakuwa wa kwanza kulalamika ''
Aliendelea Lakini mimi kitu ambacho nataka kuwaaambia Wanzania mabadiliko yanaanza na wewe kilo ambacho wewe unacho jaribu kufikiria baada ya hapa naweza nikafanya nini? nikiboreshe vipi? nikifanyeje?kionekane unique kuimba tunaimba wengi kurap mnarap wengi mko wengi mko zaidi ya millioni mko zaidi ya huwezi kukaa kwenye game peke ako unatakiwa ukibadilishe kile unachokifanya ukifanye kiwe tofauti mwiso kabosa lakini sio mwaisho tunapozungunzia planzetu tunapozungumzia innovation tunatakiwa kufikiria nje ya box huwezi kuona msitu ukiwa msituni utaona miti tu ukiwa nje ya msitu utaona anh ah kumbe huu ndo msitu Mungu ibariki cloudz fm Mungu mbariki Mrisho Mpoto ASANTENI SANA" alimaliza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment