Blackberry wametoa taarifa kwamba wanampango wa kuifanya BBM kutumika katika simu za android na iphone.Andrew Bocking, Executive Vice President of Software Product Management & Ecosystem at BlackBerry alisema kwamba“Wateja wa blackberry wamekuwa wakitaka BBM iwepo pia kwenye Android na iOS ya iPHONE. Aliendelea pia kwa kusema BBM kwa sasa ina watumiaji 60 million.Whatsapp ina watumiaji 160 million, nadhani hapo utaona umuhimu wa kuanzisha BBM kwenye Android na Iphone.”Lakini watu wamekuwa wakijiuliza maswali endapo BBM itakuwa inapatikana kwenye Android na Iphone sasa kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na Blackberry?..
No comments:
Post a Comment