Saturday, May 11, 2013

SKENDO BONGO MOVIE, PICHA YA JB YATUMIKA KATIKA COVER 3 ZA MOVIE TOFAUTI. JE NI UKATA AU?


392479_372964486060069_1289403138_n Cover ndiyo kitu cha kwanza kumvutia mnunuzi wa movie hata kabla hajaiona trailer ya mo vie au kusoma intro ya story ya movie kwenye cover. Sasa inakuaje waandaji wa movie wanashinda kutafuta picha mpya ya muigizaji mkubwa kama JB kwa ajili ya cover ya movie. Picha hii ya JB akiwa amevaa mawani na koti ya kaki, kwa mara ya kwanza  ilitumika kwenye movie ya Lerato, then baadaye ikatumika kwenye movie ya I think I hate my wife…leo tena wameitumia picha hiyo hiyo kwenye movie ya Innocent Case..jamani kupiga picha mpya siyo gharama kubwa na JB anapicha nyingi kali na sio hii tu kila siku.Tubadilike na tujali abrand na ubora w 417781_565255566830959_1850361456_nlerato

kazi.

No comments:

Post a Comment