Saturday, May 11, 2013

USHAHID WA KAULI YA LADY JAY DEE KUWA JUMATATAU ATATINGA MAHAKAMANI ASISITIZA WASANII WALIOKULA ADVANCE NA KUKIRI MBELE YA CAMERA STORY KAMILI IKO HAPA.


Baada ya Lady JayDee kusema amepokea habari ambazo alikuwa bado hajazidhibisha kuwa anatakiwa mahakamani na kuomba kama ni kweli isiwe tarehe ambayo anafanya show ya miaka 13 ya Lady Jaydee, sasa inaonekana amesha confirm kuwa anatakiwa kufika mahakamani jumatatu ya tarehe 13 May mwaka huu.


Jide amewapa fans wake taarifa jana jioni kupitia facebook na twitter kuhusu kufikishwa kwake mahakamani na kwamba ataendelea kuwajuza kinachoendelea.


Kupitia ukurasa wake wa facebook Jide ameandika satatus hii:


“Ratiba ya Usiku wa leo ni MACHOZI BAND kama kawaida, ila ratiba ya Jumatatu natakiwa Mahakama ya Kinondoni..Taarifa zaidi zitafuata nikijua kinachoendelea....
Ila kwa leo mje tuburudike Nyumbani Lounge mpk asubuhi.”


Lakini pia kupitia mtandao wa twitter, Jide a.k.a Anaconda ameandika:




Ratiba ya Usiku wa leo ni MACHOZI BAND kama kawaida, ila ratiba ya Jumatatu natakiwa Mahakama ya... fb.me/1Gg4YDGU0
— Lady JayDee (@JideJaydee) May 10, 2013

Kupitia facebook fun page yake aliandika hivi



Ratiba ya Usiku wa leo ni MACHOZI BAND kama kawaida, ila ratiba ya Jumatatu natakiwa Mahakama ya Kinondoni..Taarifa zaidi zitafuata nikijua kinachoendelea....Ila kwa leo mje tuburudike Nyumbani Lounge mpk asubuhi.

No comments:

Post a Comment