Wednesday, May 15, 2013

VIDEO YA WAKENYA WALIOANDAMANA NA NGURUWE HADI KWENYE MLANGO WA BUNGE:


Popout Mashirika ya kijamii yafanya maandamano dhidi ya mishahara ya wabunge. Baadhi ya waandamanaji wamwaga nguruwe walioandikwa “MPigs,” bungeni Kenya, wakilinganisha Wabunge (MPs) na nguruwe. Pia wamemwaga damu kama ishara ya ulafi na unyonyaji wa wabunge

No comments:

Post a Comment