Wema Sepetu akielezea kwanini anapenda Instagram kuliko Twitter na Facebook
The Sound bite ni kitu kipya hapa Bongo5. Utakuwa ukisikiliza sauti za maceleb mbalimbali wa Tanzania wakizungumza kwa ufupi kuhusu masuala mbalimbali katika maisha yao ya kawaida, wanachopenda, wanachosikiliza, wanachochukia na mambo mengine ya kawaida katika maisha yao. Msikilize hapa Wema Sepetu akielezea kwanini anapenda zaidi kutumia mtandao wa kijamii wa Instagram kuliko Twitter na Facebook.
No comments:
Post a Comment