Mama BLUE IVY CARTER asadikika kuwa na mimba nyingine tena … BEYONCE KNOWLES mke wa rapper Shawn Corey Carter [JAY-Z] ameonekana kuwa na ujauzito huo wakati alipotokeza katika RED CARPET ya MET GALA …
Mwanamama huyo mkali wa performance za jukwaani, BEYONCE anasadikika kuwa na mtoto huyo tumboni hasa na amekuwa akichagua sana mavazi ya kuvaa mbele za watu siku za karibuni ikiwa ni katika kujaribu kuficha kuonekana kwa tumbo lake … Can you tell she is ??
Well, tuisubirie hii tuone … Je, ni kweli BLUE IVY atakuwa dada hivi karibuni ??

No comments:
Post a Comment