Exclusive: Hemedy aelezea sababu za kufanyiwa fujo na Mama wa Kizungu Billcanaz
Pamoja na kufanya show ya uzinduzi wa ngoma yake Rest of My Life, uliofanikiwa, Hemedy Suleiman alijikuta kwenye wakati mgumu jana Jumapili baada ya mwanamke mmoja wa kizungu kutaka kumfanyia fujo chini ya stage.
Hemedy amesema mwanamke huyo ambaye Hemedy anasema alikuwa kama ‘hater’ tu alianza kumrushia maneno ya kejeli wakati akiwa stejini kitendo kilichomfanya Hemedy ampulizie spray usoni. Msikilize zaidi hapa.
No comments:
Post a Comment