chezeya kuwa mweupe weweee
Lil Kim a.k.a Queen B atiiii hahaaaa sijui ni jini kisirani ameingia ktk urembo huu |
sio vizuri kusema maiti ila hapa nakufa mbavu wallahiiii Michael alikuwa kiboko RIP The Greatest Ever Wacko Jacko |
kumbe hata ma supermodel ruksa kujipiga deki ? leo nimewakomesha wale wanaowasema wapigaji deki wa bongo ona sasa majuu mkorogo ni mkorogo uwe wa buku au wa mil jambo ni lile lile mkorogooo |
hivi una mfananisha na nani hapo bongo dsm maana dada kajidadavua eeeh Yesu baba rudiii maana huku hakuna anayetaka kuwa ze black |
sio wadada tu hata wakaka wamo ktk team ileee ya kujichubua |
Leo Team kujichubua mtanipendajeee?? uwiiii yaani nina kufa mbavu yote tisa jamani Nick Minaj alikuwa kama shoro aiiiii, kwakweli wadada wa mujini wale wa jiki na nk kwakweli endeleeni hampo wenyewe, ruksaaaaa.
mkorogo ni mkorogo uwe wa jero ama wa mil #TeamHawasikiiWalaHawaoni ni kujikorogaa kwa kwenda mbeleee.
ila nini haswa raha ya kujichubua jamani unajua watu watashindwa kushoneka hapa mjini?
No comments:
Post a Comment